Wana ndondi 12 Kaunti ya Kiambu wateuliwa kujinolea pigano la Novices mwezi ujao

Na Ripota Wetu  Jumatatu, Januari 26, 2026   MASHINDANO ya kuteua wana ndondi watakao wakilisha kaunti ya Kiambu kwenye ngarambe ya kitaifa kuwania taji la Novices yalifanyika katika ukumbi wa Mwarangu, eneo la Ndenderu, Jumapili, Januari 25, 2026. Wachezaji 50 walioshiriki shindano hilo walitoka kwenye klabu saba katika maeneo tofauti Kaunti hiyo. Orodha ya klabu…

Read More

Swiss-Belhotel International Yatangaza Uzinduzi wa Kimataifa wa Chapa mpya na The Gama By Swiss-Belhotel, Nairobi.

SWISS-BELHOTEL INTERNATIONAL YATANGAZA UZINDUZI WA KIMATAIFA WA CHAPA MPYA NA THE GAMA BY SWISS-BELHOTEL, NAIROBI   JUMANNE, JANUARI  14, 2026  Swiss-Belhotel International, imetia wino mkataba wa usimamizi wa The Gama by Swiss-Belhotel, Kilimani, Nairobi, na kampuni ya Albushra Real Estate Limited, hatua inayodhihirisha uzinduzi wa kimataifa wa chapa yake mpya kabisa na kusisitiza upanuzi wa…

Read More